Ethiopia wanasherehekea Krismasi leo Januari 7

Wakristo wa Kanisa la Orthodox la Ethiopia hufuata kalenda ya Juliani (Julian Calendar), ambayo iko nyuma kwa siku 13 ikilinganishwa na kalenda ya Gregori inayotumiwa na Wakatoliki na Waprotestanti.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS