Sitaki mtoto wangu wakike ajitegemee-Nay Wa Mitego CEO wa Free Nation Nay Wa Mitego anasema hataki mtoto wake wa kike aende kupanga na kuanza kujitegemea kimaisha hata kama awe anafanya kazi na anapokea mshahara mkubwa. Read more about Sitaki mtoto wangu wakike ajitegemee-Nay Wa Mitego