Ashikiliwa kwa kumkata vidole 3 mwanafunzi wa la 4
JESHI la Polisi Mkoa wa Tanga linamshikilia Mkazi wa Welei wilayani Lushoto mkoani Tanga Isaka Clement Ngulizi kwa kosa la kumshambulia na kumkata vidole vitatu mwanafunzi wa darasa la nne mwenye umri wa miaka kumi na moja (11).

