Magori aibua upya utata wa usajili wa Loemba Simba
Baada ya kusambaa kwa taarifa kuwa mchezaji wa Simba Inno Loemba ameletwa na mwekezaji wa klabu hiyo Jayrutty hii leo Mwenyekiti wa Bodi ya Simba Crescentius Magori ameeleza kuwa mchezaji huyo amesajiliwa na klabu na siyo Mwekezaji.

