Mwanamke ahukumiwa kwa kuwapa sumu wakwe zake Mahakama ya Australia imemkuta na hatia mwanamke wa Australia, kwa kuwapa sumu wakwe zake, sumu ambayo iliwekwa kwenye chakula chao cha mchana na kuchanganywa na uyoga wenye sumu Read more about Mwanamke ahukumiwa kwa kuwapa sumu wakwe zake