Ayra Starr ajiunga na Roc Nation Ya Jay Z
Msanii wa muziki wa Afrobeats, Ayra Starr, amejiunga rasmi na kampuni ya kimataifa ya burudani Roc Nation, inayomilikiwa na rapa Jay-Z.Taarifa hii imethibitishwa baada ya jina la Ayra kuwekwa kwenye tovuti rasmi ya Roc Nation.