Vita ya Azam na Yanga, yamgusa mwamuzi

Kuelekea mchezo wa ligi kuu soka Tanzania Bara raundi ya 15 kati ya Azam FC dhidi ya Yanga, klabu ya Azam imeomba kubadilishwa kwa mwamuzi wa kati aliyepangwa na bodi ya ligi kuchezesha pambano hilo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS