Nandy agoma kuimba wimbo wa Ruby Msanii wa muziki wa kizazi kipya ambaye kwa sasa anafanya poa zaidi kwa upande wa wasichana, Nandy, amegoma kabisa kuimba wimbo wa msanii mwenzake Ruby ambaye inaaminiwa hawapikiki chungu kimoja. Read more about Nandy agoma kuimba wimbo wa Ruby