"CHADEMA ndio shetani wetu"- Wasira
Mwanasiasa mkongwe na aliyekuwa Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika katika serikali ya awamu ya nne na mjumbe wa Halmashauri Kuu Taifa ya CCM, Stephen Wasira amedai hawawezi kufanya siasa bila ya kukitaja chama cha CHADEMA kwa kuwa ndio shetani wao