Vanessa Mdee avujisha mpango wa Jux Baada ya kufanikiwa kutoa na kuuza album yake ya kwanza inayoitwa 'Money Mondays', msanii Vanessa Mdee ameiambai eNEWZ kuwa mpenzi wake Jux pia anakuja na album yake. Read more about Vanessa Mdee avujisha mpango wa Jux