Mwalimu wa sekondari achinja mtoto Mwalimu mmoja wa sekondari nchini Kenya Stephen Wachira Wangara mwenye umri wa miaka 43, amefikishwa mahakamani kwa kosa la kumuua mtoto wake wa miezi 7 kwa kumchinja kwa panga. Read more about Mwalimu wa sekondari achinja mtoto