"Mashabiki wanataka niwe na Nandy" - Aslay Msanii wa muziki wa kizazi kipya Aslay, ameweka wazi sababu ya kufanya kazi na Nandy mara kwa mara na kusema kwamba mashabiki wanawasababisha wafanye hivyo. Read more about "Mashabiki wanataka niwe na Nandy" - Aslay