"Hakuna wa kunitisha"- Bright Bright Msanii chipukizi wa bongo fleva mwenye 'hit song ya Sina' Bright ameibuka na kujigamba kwamba hakuna mwanamuziki yeyote anayeweza kumhofia katika utendaji wake wa kazi kwa madai muziki wake una uwanja mpana. Read more about "Hakuna wa kunitisha"- Bright