Kagera Sugar imejiandaa kuikwamisha Simba Klabu ya Simba SC leo inarejea kwenye uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba, sehemu ambayo ina kumbukumbu ya kukwamishwa mipango yake ya kusaka ubingwa msimu uliopita. Read more about Kagera Sugar imejiandaa kuikwamisha Simba