Dakika 41 za Prison na Mbao mtihani

Baada ya jana mchezo wa ligi kuu soka Tanzania Bara kati ya Tanzania Prison dhidi ya Mbao FC kuahirishwa dakika ya 49, kutokana na uwanja wa Sokoine jijini Mbeya kuzidiwa na mvua, dakika 41 zilizobaki bado ni mtihani.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS