Waziri akipa siku 14 kiwanda cha Dangote Naibu Waziri wa Madini, Doto Biteko ametoa siku 14 kwa uongozi wa kiwanda cha Saruji cha Dangote Mkoa wa Mtwara kuingia mkataba na wachimbaji wadogo wa gypsum. Read more about Waziri akipa siku 14 kiwanda cha Dangote