Mpambane kwa ajili ya Tanzania- Dkt. Mwakyembe
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe amewataka vijana wa timu ya Serengeti Boys wenye umri wa miaka 16, kupambana kwa hali na mali ili waweze kupeperusha vyema bendera ya Tanzania.