Singida United kupigania kuishusha Yanga

Kocha wa Singida United Hans Van Pluijm amesema wachezaji wake wamejiandaa vyema kisaikolojia kuhakikisha wanashinda mchezo wao wa leo jioni dhidi ya Majimaji na kuishusha Yanga SC kwenye nafasi ya tatu.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS