Waziri Mkuu aagiza kiongozi huyu akamatwe Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameamuru Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoa wa Mara kumkamata na kumuhoji Mkurugenzi Mtendani wa Mamlaka ya Maji Musoma (MUWASA) Mhandisi Gantala Said. Read more about Waziri Mkuu aagiza kiongozi huyu akamatwe