Mbunge Kingu ageuka 'mbogo' kwa wanaomjadili
Mbunge wa jimbo la Singida Magharibi. Elibariki Kingu amefunguka kwamba yeye anakula bata (kufanya starehe) lakini pia anakumbuka kufanya maendeleo kwa kutumia uwezo wake binafsi ikiwa ni pamoja na wanachi na serikali kwenye jimbo lake.

