Moni amkana Roma Mkatoliki hadharani

Msanii anyefanya poa kutoka kanda ya kati  kwa sasa Moni Centrozone amedai kwamba hamfahamu msanii wa Hip hop anayefanya poa sana hapa Bongo na nje ya mipaka Roma Mkatoliki na wala hana mchango wowote katika maisha yake ya sanaa.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS