"Waliosamehewa tutawarudisha jela" – Mambosasa Kamanda wa Polisi Kanda Maalum Jijini Dar es salaam Lazaro Mambosasa, amesema wahalifu waliotoka jela kwa msamaha wa Rais hawatasita kuwarudisha tena jela iwapo wataendelea na tabia za uhalifu. Read more about "Waliosamehewa tutawarudisha jela" – Mambosasa