Mshambuliaji wa Azam FC mbioni kurejea Mshambuliaji wa Azam FC Mbaraka Yusuph amekaribia kurejea kwenye kikosi baada ya kupona majeraha yake na kuanza programu ya mazoezi mepesi peke yake. Read more about Mshambuliaji wa Azam FC mbioni kurejea