Billnass amkinga Uchebe na Nuh Mziwanda

Msanii wa Bongo Fleva anayefanya vizuri katika game kwa sasa, Billnass amemtaka mume wa msanii Shilole, Uchebe kupambana pale inapobidi ndiyo maana ameamua kumzawadia vifaa vya mazoezi ili hata kupambana na Nuh Mziwanda pale ambapo inabidi.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS