Waziri aahidi madaktari bingwa

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu amesema baadhi ya Madaktari bingwa kutoka Hospitali ya Taifa Muhimbili wanatakiwa kuhamia Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Temeke.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS