Jux ajipa majukumu kwa Shilole
Msanii wa viwango kwenye kiwanda cha Bongo Fleva, Juma Jux amejitolea kumsaidia msanii 'Shilole Baby' majukumu ya kumsomesha mtoto wake mmoja kwa mwaka mzima ikiwa kama zawadi yake ya siku ya sherehe ya harusi iliyofanyika jana Jijini Dar es salaam.