Bill Nass ajibu ombi la ndoa kwa Nandy Msanii Bill Nass amejibu kauli ya Nandy aliposema kuwa anatamani angekuwa mke wake, na kusema kwamba ni kitu ambacho hakiwezekani ingawa anaheshimu hisia zake Read more about Bill Nass ajibu ombi la ndoa kwa Nandy