Amba ataja sababu za kukoswa na rungu la Shonza
Amber Lulu amedai kuwa rungu la kuitwa na Naibu Waziri wa Habari, Sanaa utamaduni na Michezo, Mh. Juliana Shonza ni kutokana na kuwa watu walishamtoa kwenye kundi la wakaa utupu mitandaoni na kumuweka kwenye kundi la wasanii.