Hatimaye Okwi ajisalimisha Baada ya kuwepo kwa tetesi nyingi kuhusu mshambuliaji wa Simba Emmanuel Okwi ambaye ni kinara wa mabao kwenye ligi kuu soka Tanzania Bara, hatimaye nyota huyo amejiunga na kambi ya timu hiyo. Read more about Hatimaye Okwi ajisalimisha