"Hemed ni Chawa wangu" - Gerry wa Rhymes Msanii wa mziki na filamu Gelly wa Rhymes amejibu fununu zisemazo yeye ni chawa wa Hemed na hana mchongo mwengine wa maana mjini kwa kusema yeye na Hemed ni zaidi ya ndugu. Read more about "Hemed ni Chawa wangu" - Gerry wa Rhymes