Man Fongo asema haandiki tena 'Hit song' Msanii wa Singeli Manfongo amedai kuwa anaamini hawezi kuandika tena 'hit song' kama Ushemeji, kwa kuwa wakati anaandika ngoma hiyo alikuwa na njaa hivyo alikaza sana. Read more about Man Fongo asema haandiki tena 'Hit song'