Manara aungana na wanajangwani Afisa habari wa timu ya Simba SC, Haji Manara amekuwa miongoni mwa watu walioweza kuguswa na msiba uliomfika Nahodha wa Yanga SC, Nadir Haroub 'Cannavaro' leo wa kufiwa na mwanae na kumtaka awe mwenye moyo wa subra. Read more about Manara aungana na wanajangwani