"Sitaki kujibizana na mtu"- Nay wa Mitego

Rapa Nay wa Mitego

Rapa Nay wa Mitego anayetamba na kibao chake kipya kilichopewa jina la 'Mikono Juu' amefunguka na kudai hawezi kujibishana na mtu yeyote kwa sasa kwani yeye anachokihangaikia ni kupeleka mbele muziki wake ili watu wake waweze kuupata.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS