Feza Kessy akiri kumtongoza msanii mwenzake Msanii wa muziki wa kizazi kipya ambaye ametokea kwenye tasnia ya urembo, Feza Kessy, amekiri kuwahi kumtongoza mwanaume ambaye alitokea kumpenda, kitu ambacho ni kigumu kwa mabinti wengi. Read more about Feza Kessy akiri kumtongoza msanii mwenzake