Ratiba za viporo vya Yanga na Simba

Bodi ya ligi imetangaza tarehe ya michezo ya kiporo ya timu za Simba na Yanga ambazo zinawakiklisha taifa kwenye michuano ya kimatifa barani Afrika ambapo Simba itacheza na Mbao FC huku Yanga ikicheza na Ndanda FC.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS