Makamu wa Rais atoa neno kuhusu kupunguza foleni Makamu wa Rais, Mh. Mama Samia Suluhu Hassan, amesema Serikali inajitahidi kujenga na kutanua vituo vya Afya ili kupunguza msongamano kwenye hospitali za Wilaya. Read more about Makamu wa Rais atoa neno kuhusu kupunguza foleni