Maandamano ya upinzani ya kwama
Maandamano yaliyoitishwa leo na viongozi wa upinzani nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, (DRC), yameshindwa kupata mwitikio mkubwa kama ilivyotarajiwa baada ya Serikali kuyapiga marufuku na kusambaza maelfu ya polisi.