Mabilioni yakamatwa yakiingizwa Tanzania Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amesema zaidi ya dola bilioni moja zimeshikwa zikiingizwa nchini kwenye uwanja wa ndege wa Julius Kambarage Nyerere jijini Dar es salaam. Read more about Mabilioni yakamatwa yakiingizwa Tanzania