Zijue rekodi za Sanchez na Mkhitaryan
Klabu za Arsenal na Manchester United jana zimekamilisha uhamisho wa nyota wawili Alexis Sanchez akitua Man United na Henrick Mkhitaryan akitua Arsenal ambapo dau la Sanchez linakadiliwa kufikia £ 60m zaidi ya shilingi bilioni 164.

