Mourinho akata tamaa Kocha wa Manchester United Jose Mourinho, amesema huenda mbio za ubingwa wa EPL zikawa zimefika tamati baada ya timu yake kupoteza 2-1 dhidi ya mahasimu wao Manchester City jana usiku. Read more about Mourinho akata tamaa