Nuh Mziwanda amtupia 'dongo' Shilole
Baada ya kuenea kwa picha katika mitandao ya kijamii za Muingizaji na Msanii Zuwena Mohamed,maarufu kama Shilole zikionyesha kuwa amefunga ndoa na mpenzi wake Uchebejana usiku , aliyekuwa mpenzi wa Shilole, Nuh Mziwanda ametuma dongo.