Zanzibar Heroes kuinyoa Kilimanjaro Stars? Kilimanjaro Stars leo watacheza na Zanzibar Heroes katika michuano ya Chama cha soka Afrika Mashariki na kati (CECAFA) yanayofanyika nchini Kenya majira ya saa nane mchana, nani kubuka mshindi leo? Read more about Zanzibar Heroes kuinyoa Kilimanjaro Stars?