Lowassa, Sumaye sababu ya Kubenea kubaki CHADEMA Mbunge wa Ubungo, Saed Kubenea amesema kwamba hawezi kuhama CHADEMA na kwenda CCM wakati yeye alishughulika kuwashawishi baadhi ya watu kuhamia katika chama alichopo sasa hivi. Read more about Lowassa, Sumaye sababu ya Kubenea kubaki CHADEMA