"Mimi sina bei " - Kubenea

Mbunge wa CHADEMA jimbo la Ubungo Saed Kubenea, amekanusha juu ya kauli zinazomkabili zikisema anahama chama hicho na kuhamia Chama cha Mapinduzi (CCM).

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS