Mashine za Yanga zarejea dimbani Wachezaji wa Yanga mshambuliaji Amisi Tambwe pamoja na kiungo Thabani Kamusoko ambao walikuwa majeruhi wa muda mrefu, wamerejea kikosini ambapo wanafanya mazoezi mepesi kwaajili ya kurejesha makali yao. Read more about Mashine za Yanga zarejea dimbani