Watumbuliwa kwa kukaidi agizo la Magufuli

Walimu wakuu wa shule 3 za wilayani Muheza mkoani Tanga wamekamatwa na jeshi la polisi kwa kuchukua fedha, kwa ajili ya kuwaandikisha wanafunzi wa darasa la awali na la kwanza katika shule hizo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS