Uingereza kulitambua taifa la Palestina
Waziri Mkuu wa Uingereza Keir Starmer ametangaza kwamba Uingereza italitambua taifa huru la Palestina mwezi Septemba, isipokuwa kama Israeli itatoa ahadi kadhaa, ikiwa ni pamoja na kusitisha mapigano katika Ukanda wa Gaza uliozingirwa.