Ufanunuzi kauli ya Bandari ya DSM kuuzwa Dubai
Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari (TPA), imewataka Watanzania kupuuza taarifa za upotoshaji zinazofanywa kwa makusudi na watu wenye nia ovu zinazodai serikali imepanga kuipa kampuni ya DP World ya Dubai kandarasi ya uendeshaji wa shughuli za Bandari ya Dar es Salaam kwa muda wa miaka 100.