Moto wateketeza maduka saba Shinyanga
Jengo la Jumuiya ya Umoja wa Wanawake wa Chama cha Mapinduzi (UWT) Mkoa wa Shinyanga limeteketea kwa moto na kuunguza maduka saba yaliyokuwa kwenye jengo hilo pamoja na mali zilizokuwa ndani huku maduka sita yakinusurika