Yanga wapewa ofa nyingine, mashabiki wasikilizie

Waziri wa Maliasili na Utalii Mohamed Mchengerwa

Wizara ya Maliasili na Utalii imetoa ofa kwa timu ya Yanga, wachezaji pamoja na viongozi wa klabu hiyo kutembelea Hifadhi ya Taifa Serengeti na Hifadhi ya Ngorongoro wakati wa mapumziko yao. 

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS